KARIBU Nyumbani Kwanza Media, Jina langu Naitwa Hussein H. Hussein, Tunatoa Huduma za Utayarishaji wa Matangazo ya PICHA Kwa Matumizi ya Mitandao ya Kijamii, Blogsna Websites.

Tunafanya Matangazo ya Aina zote Kwa Gharama Nafuu Kabisa, na Kwa Ubora unaokidhi Hadhi ya Matangazo, na Gharama zetu Ni Rahisi Kuzimudu hata Kwa Wafanyabiashara Wadogo wadogo.

TUNAKUHAKIKISHIA Kukupa Huduma Bora, Rahisi na Yenye Kukidhi Hitaji la Biashara yako Kwa Wateja wako Waliopo Pamoja na Kuwavutia Wateja Wapya.

KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 
Mkurugenzi Mtendaji, 
Nyumbani Kwanza Media, 
Call/WhatsApp/Telegram: 
0622-799 997 
Email: nyumbanikwanza@gmail.com 
Dar es Salaam, Tanzania

Nyumbani Kwanza I Sehemu ya Kujivunia