KARIBU Nyumbani Kwanza Media, Jina langu Naitwa Hussein H. Hussein, Tunatoa Huduma za Utayarishaji wa Matangazo ya Video Kwa Matumizi ya Televisheni na Mitandao ya Kijamii. 

Tunafanya Matangazo ya Aina zote Kwa Gharama Nafuu Kabisa, na Kwa Ubora unaokidhi Hadhi ya Matangazo, na Gharama zetu Ni Rahisi Kuzimudu hata Kwa Wafanyabiashara Wadogo wadogo.

PIA Tunafanya Matangazo ya Radio, Kampeni, Promosheni, Tunaingiza Sauti za Matangazo, Tunafanya Sauti za Vipindi vya Radio na Televisheni. 

TUNAKUHAKIKISHIA Kukupa Huduma Bora, Rahisi na Yenye Kukidhi Hitaji la Biashara yako Kwa Wateja wako Waliopo Pamoja na Kuwavutia Wateja Wapya. 

KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 
Mkurugenzi Mtendaji, 
Nyumbani Kwanza Media, 
Call/WhatsApp/Telegram: 
0622-799 997 
Dar es Salaam, Tanzania